Richard Garth Henning (amezaliwa Rockville, New York, Oktoba 17, 1964) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki wa Marekani ambaye ni Askofu Mkuu wa sasa wa Boston. Alikuwa askofu msaidizi wa Dayosisi ya Rockville Center kutoka 2018 hadi 2022.

Wasifu

hariri

Richard Henning alizaliwa na Richard na Maureen Henning akikulia katika Parokia ya Jina Takatifu la Maria. Baba yake alikuwa mzimamoto na mama yake alikuwa nesi. Alihitimu kutoka Shule ya Upili ya Chaminade huko Mineola, New York mnamo 1982.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. "Who is Bishop Richard Henning, the new coadjutor bishop of Providence?". The Providence Journal (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-12-06.
  2. "Graduate Appointed as Auxiliary Bishop", Chaminade High School, June 8, 2018. Retrieved on August 20, 2018. 
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.