Richard Roxburgh

Richard Roxburgh (amezaliwa tar. 1 Januari 1962) ni mwigizaji wa tamthilia na filamu kutoka nchini Australia. Amecheza filamu nyingi sana huko nchini Australia na ameonekana zaidi katika baadhi ya filamu za mjini Hollywood, Marekani. Roxburgh mara nyingi hucheza kama jangili. Pia aliwahi kucheza kama adui mkuu msaidizi katika filamu aliyocheza nyota Tom Cruise-Mission Impossible II. Na vilevile katika Van Helsing aliocheza nyota Hugh Jackman, humo alicheza kama adui mkubwa-Dracula.

Richard Roxburgh
Richard Roxburgh.
Richard Roxburgh.
Jina la kuzaliwa Richard Roxburgh
Alizaliwa 1 Januari 1962
Australia
Kazi yake Mwigizaji

Filamu alizoigizaEdit

 • Romulus, My Father Director (2007)
 • Like Minds (2006)
 • Fragile (2005)
 • Stealth (2005)
 • Van Helsing (2004)
 • League of Extraordinary Gentlemen (2003)
 • The One and Only (2002)
 • The Touch (2002)
 • The Hound of the Baskervilles (2002) (TV)
 • Moulin Rouge! (2001)
 • Mission: Impossible II (2000)
 • Passion: The Story of Percy Grainger (1999)
 • In The Winter Dark (1998)
 • Thank God He Met Lizzie (1997)
 • Children of the Revolution (1996)

TVEdit

 • The Silence
 • Frontier
 • The Last of the Ryans
 • Gluttony: Seven Deadly Sins
 • Tracks of Glory
 • Police Rescue
 • The Saint: Fear in Fun Park
 • Riddle of the Stinson
 • The Ordinary Man
 • One Way Ticket for Twisted Tale
 • The Paper Man

TuzoEdit

- Taasisi ya filamu Australia:

 • 2006 - ameshinda : The Silence (TV)
 • 2001 - ameshinda : Moulin Rouge!
 • 1999 - ameshinda : Passion
 • 1997 - ameshinda : Doing Time for Patsy Cline

- Tuzo za filamu Australia:

 • 1998 - ameshinda : Doing Time for Patsy Cline

Viungo vya njeEdit