Richard Purdy Wilbur (amezaliwa 1 Machi 1921) ni mshairi kutoka nchi ya Marekani. Alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi mara mbili: 1957 na 1989.

Richard Wilbur (1964)


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Richard Wilbur kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.