Rico Gang
Kikundi cha Kenya cha Gengeton
Rico Gang ni kundi la muziki wa Gengetone nchini Kenya lililoundwa Nairobi na HarryCraze, Triand Rands na GeeGee mwaka 2017.
Rico Gang | |
---|---|
Asili yake | Nairobi, Kenya |
Aina ya muziki | Pop, dance, Gengetone, pop rock |
Miaka ya kazi | 2017–mpaka sasa |
Studio | Dapstrem Entertainment,
Tovuti =ricogang.com/ |
Wanachama wa sasa | |
Harry Craze Triand Rands GeeGee |
Kundi hilo limepata umaarufu kwa wimbo wao uitwao Chachisha walioshirikisha Ochungulo Family.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rico Gang kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |