Muziki wa pop
Muziki wa pop au pop ni kifupi cha namna ya kuandika popular music au muziki mashuhuri. Muziki wa pop una hesabiwa kama mmoja kati ya muziki unaosikilizwa sana, kununuliwa sana, na kuchaguliwa sana katika matamasha maalumu. Staili za muziki wa pop ya miaka ya 2000 (leo hii) inajumlisha muzikiwa rock, hip hop, na pop punk.
Waimbaji na mabendi yanayopiga muziki wa pop
haririHii ni orodha ya baadhi ya waimbaji au mabendi yaliyoanza kuimba muziki wa pop. Baadhi yao ni:
- 1980
- Michael Jackson
- George Michael (Wham!)
- Madonna
- Cyndi Lauper
- Debbie Gibson
- Paula Abdul, ingawa huimba muziki wa dansi na R&B vilevile
- Prince
- 1990
- A-Mei
- Hikaru Utada, ingawa huimba R&B na vilevile huimba pop
- Spice Girls
- Bobby Brown, ingawa huimba muziki wa soul na R&B vilevilel
- Mariah Carey, ingawa huimba muziki wa soul na R&B na vilevile huimba pop
- 2000
- 5566
- Britney Spears, ingawa huimba muziki wa dansi na R&B vilevile
- Christina Aguilera, ingawa huimba R&B vileivle
- Jessica Simpson
- *NSYNC
- Backstreet Boys
- Hilary Duff
- Lindsay Lohan
- Maroon 5
- Fall Out Boy
- The Saturdays
- Juanes
- Shakira
- Carlos Vives
- Jonas Brothers, ingawa huimba rock vilevile