Risa Shimizu (alizaliwa 15 Juni 1996 )[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Japani ambaye anacheza kama beki wa kulia katika klabu ya West Ham United inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL)[2] na timu ya taifa ya Japani.

Shimizu akichezea na Japani mnamo 2019

Marejeo hariri

  1. "UGOPAN|人気連載「人図鑑」をWEBで公開!". web.archive.org. 2016-01-25. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-01-25. Iliwekwa mnamo 2024-04-27. 
  2. https://www.whufc.com/news/west-ham-united-women-sign-japan-international-risa-shimizu
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Risa Shimizu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.