Robert Dean Blackwill (amezaliwa Agosti 8, 1939) [1] ni mwanadiplomasia mstaafu wa Marekani, mtunzi, mkuu katika baraza la mahusiano ya kimataifa na mtetezi.[2] Blackwik alihudumu mwakimishi wa taifa la marekani chini ya Rais George W. Bush tangu mwaka 2002 mpaka 2003 na kama naibu baraza la ulinzi wa taifa la Marekani nchini Iraq tangu mwaka 2003 mpaka 2004, ambapo alikuwa kiungo kati ya Paul Bremer pamoja na Condoleezza Rice.

Robert Blackwill

Marejeo

hariri
  1. http://www.reagan.utexas.edu/archives/speeches/1985/32985c.htm
  2. http://www.cfr.org/experts/india-europerussia-nato/robert-d-blackwill/b6