Robert Chung

Dk Robert Chung (Kichina: 鍾庭耀; Jyutping: Zung1 Ting4-jiu6) ni msomi wa Hong Kong. Ni Mkurugenzi wa zamani wa Programu ya Maoni ya Umma (Public Opinion Programme (POP)) wa Chuo Kikuu cha Hong Kong.[1] POP ilikuwa taasisi huru mnamo Mei 2019 kama Taasisi ya Utafiti wa Maoni ya Umma ya Hong Kong, na Chung Alibakia kuwa kiongozi wake.[2][3]

Robert Chung

Mnamo 2000, Chung aliandika makala ya kitaalamu akisema kwamba alihisi shinikizo kusitisha kufanya uchunguzi wa maoni ya umma. Baadaye ilijulikana kama 'Robert Chung affair'.[4]

MarejeoEdit