Robert J. Hoffmeister

Robert J. Hoffmeister ni profesa mstaafu mshiriki na aliyekuwa mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Mawasiliano na Ulemavu wa Kusikia katika Chuo Kikuu cha Boston.[1] Anajulikana hasa kwa kitabu chake Journey into the Deaf World. Pia anajulikana kwa kuunga mkono jamii ya viziwi ya Marekani na elimu kwa viziwi.

Marejeo

hariri
  1. "Robert J. Hoffmeister | School of Education". www.bu.edu. Iliwekwa mnamo 2016-12-31.