"Rock with You" ni wimbo uliotolewa kunako tar. 3 Novemba 1979, ukiwa kama wimbo wa pili kutoka katika albamu ya tano ya mwimbaji wa Kimarekani Michael Jackson, Off the Wall. Wimbo ulitungwa na mmoja kati ya wanachama wa bendi ya Heatwave Rod Temperton, na kupelekea kumsaidia Jackson uwe wimbo kwanza na bora katika miaka ya 1980. Ripoti hizo zilitolewa na gazeti la Billboard.

“Rock With You”
“Rock With You” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Off the Wall
Imetolewa 3 Novemba 1979
Muundo 7"
Imerekodiwa 1979
Aina Disco, R&B, Soul
Urefu 3:39
Studio Epic Records
Mtunzi Rod Temperton
Mtayarishaji Michael Jackson na Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"Don't Stop 'til You Get Enough"
(1979)
"Rock with You"
(1979)
"Off the Wall"
(1980)

Wimbo ulishika nafasi ya kwanza katika chati za muziki wa pop na R&B na kuwa miongoni mwa single za Jackson zilizopendwa zaidi. Muziki wa video wa wimbo huu unamwonyesha Jackson akiwa kwenye tabasamu zuuri huku akiwa amevaa suti ya kumelemeta na picha za mataa ya kung'aa kwa nyuma. Kwa mujibu wa Billboard, wimbo huu ulikuwa wa nne kwa ubora katika miaka ya 1980.[1]

Chati (1979) Nafasi
Iliyoshika
Australian Singles Chart 4
Canadian Singles Chart 4
German Singles Chart 58
French Singles Chart 59
Irish Singles Chart 11
Italian Singles Chart 9
Spanish Singles Chart 1
UK Singles Chart 7
US Billboard Hot 100 1
Chati (2009) Nafasi
Iliyoshika
Australian ARIA Singles Chart 36
UK Singles Chart 54
U.S. Billboard Hot Digital Songs[2] 17

Orodha ya nyimbo

hariri

UK single

hariri
  1. "Rock with You" - 3:20
  2. "Get on the Floor" - 4:57

U.S. single

hariri
  1. "Rock with You" - 3:20
  2. "Working Day and Night" - 5:04

Visionary single

hariri
CD side
  1. "Rock with You" (7" edit) - 3:23
  2. "Rock with You" (Masters at Work Remix) - 5:33
Upande wa DVD
  1. "Rock with You" (muziki wa video)

Marejeo

hariri
  1. The Billboard Hot 100 - 1980
  2. "Billboard.com - Michael Jackson breaks Billboard charts". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-07-04. Iliwekwa mnamo 2009-07-14.

Viungo vya Nje

hariri


  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rock with You kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.