Roger Dubuis ni kampuni ya kutengeneza saa za anasa kwa wanawake na wanaume huko Geneva, Uswisi.

Kampuni ya Roger Dubuis Geneva, Uswisi

Kampuni hii ilianzishwa na Roger Dubuis na Carlos Dias mwaka 1995. Mwaka 2008 kampuni hii ilichukuliwa na kampuni ya Richemont. [1]

Zile za Roger Dubuis ni saa zinazotengenezwa kwa kuchanganya mitindo ya asili na ubunifu wa pekee unaojionyesha zaidi kwenye matoleo ya Excalibur and Velvet.[2]

Hivi karibuni kampuni hii imekuwa ikitengeneza saa zinazotokana na michezo ya magari kwa ushirikiano na kampuni za Lamborghini Squadra Corse na Pirelli.

Marejeo

hariri
  1. User, Super. "Compagnie Financière Richemont SA - Richemont acquires 60 per cent interest in Manufacture Roger Dubuis SA". www.richemont.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2018-11-16. {{cite web}}: |last= has generic name (help)
  2. "Our collections | Roger Dubuis", Roger Dubuis. Retrieved on 2019-02-27. (en-US) Archived from the original on 2019-03-27. 

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Roger Dubuis kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.