Sir Roger George Moore, KBE (amezaliwa tar. 14 Oktoba 1927) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Uingereza. Labda anafahamika zaidi kwa kucheza filamu mbili za kishujaa huko Uingereza, Simon Templar kutoka katika mfululizo wa kipindi cha televishen kilchojulikana kama "The Saint" toka mwaka 1962 hadi mwaka 1969, na mfululizo wa filamu za James Bond katika filamu saba za aina hiyo kuanzia mwaka 1973 hadi mwaka 1985. Moore amekuwa balozi wa UNICEF tangu mwaka wa 1991. Mwaka wa 2003 amepewa cheo cha "Sir" cha Uingereza.

Roger Moore
Roger Moore
Roger Moore
Jina la kuzaliwa Roger George Moore
Alizaliwa 14 Oktoba 1927
Uingereza
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1945 - hadi leo
Ndoa Doorn van Steyn

Dorothy Squires Luisa Mattioli (watoto watatu) Christina Tholstrup

Filamu alizoigiza

hariri
  • Perfect Strangers (1945)
  • Caesar and Cleopatra (1945)
  • Gaiety George (1946)
  • Piccadilly Incident (1946)
  • Paper Orchid (1949)
  • Trottie True (1949)
  • Honeymoon Deferred (1950)
  • One Wild Oat (1951)
  • The Last Time I Saw Paris (1954)
  • Interrupted Melody (1955)
  • The King's Thief (1955)
  • Diane (1956)
  • The Miracle (1959)
  • The Sins of Rachel Cade (1961)
  • Gold of the Seven Saints (1961)
  • Romulus and the Sabines (1962)
  • No Man's Land (1962)
  • Vendetta for the Saint (1968)
  • The Fiction Makers (1968)
  • Crossplot (1969)
  • The Man Who Haunted Himself (1970)
  • Live and Let Die (1973)
  • Gold (1974)
  • The Man with the Golden Gun (1974)
  • That Lucky Touch (1975)
  • London Conspiracy (1976)
  • Sherlock Holmes in New York (1976)
  • Street People (1976)
  • Shout at the Devil (1976)
  • The Spy Who Loved Me (1977)
  • The Wild Geese (1978)
  • Escape to Athena (1979)
  • Moonraker (1979)
  • North Sea Hijack also known as ffolkes(1980)
  • The Sea Wolves (1980)
  • Sunday Lovers (1980)
  • The Cannonball Run (1981)
  • For Your Eyes Only (1981)
  • Octopussy (1983)
  • Curse of the Pink Panther (1983)
  • The Naked Face (1984)
  • A View to a Kill (1985)
  • The Magic Snowman (1987) (voice)
  • Fire, Ice and Dynamite (1990)
  • Bullseye! (1990)
  • Bed and Breakfast (1992)
  • The Quest (1996)
  • The Saint (1997)
  • Spice World (1997)
  • The Enemy (2001)
  • Na Svoji Vesni (2002)
  • Boat Trip (2002)
  • Charles Lindbergh: The True Story (2005) (documentary) (narrator)
  • Here Comes Peter Cottontail: The Movie (2005) (sauti) (moja kwa moja-katika-DVD)
  • Agent Crush (2008) (sauti)

Marejeo

hariri
  1. http://www.unicef.org.uk/theflywholovedme/ Ilihifadhiwa 29 Septemba 2009 kwenye Wayback Machine.
  2. http://www.filmreference.com/film/21/Roger-Moore.html
  3. http://www.unicef.org.uk/theflywholovedme/ Ilihifadhiwa 29 Septemba 2009 kwenye Wayback Machine.
  4. https://web.archive.org/web/20070609092458/http://afp.google.com/article/ALeqM5iVEzDK99xVldzImafMdKLA9cQOJw
  5. http://www.roger-moore.com/etoile-hollywood2007.htm Ilihifadhiwa 7 Januari 2010 kwenye Wayback Machine.

Viungo vya Nje

hariri