Roknia ni makaburi ya kihistoria yaliyopo kwenye eneo la Guelma, kaskazini-mashariki mwa Algeria. Eneo hili lina makaburi zaidi ya 7000, yaliyotapakaa katika umbali wa takribani kilomita 2. [1]

Marejeo hariri

  1. "Algérie - Roknia — GeneaWiki". www.geneawiki.com (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2018-02-01. 
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Roknia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.