Rose Mukantabana

Mwanaharakati wa haki za wanawake wa Rwanda, mwanaharakati wa haki za binadamu na mwanasheria

Rose Mukantabana (31 agosti 1961) ni mwanasheria na mwanaharakati wa haki za wanawake.Mukantabana ni rais wa zamani wa baraza la manaibu wa Rwanda na alikuwa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa katika wadhifa huo.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Parlement : Qui est la présidente de la chambre des députés ?", Kigali, Rwanda: Rwanda News Agency, 2 December 2008. Retrieved on 2024-06-29. (French) Archived from the original on 2016-12-03. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rose Mukantabana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.