Rose Stephenson-Goodknight
Dame Rosie Gojich Stephenson-Goodknight[1] (amezaliwa Desemba 5. 1953) [2][3] anayejulikana kwenye Wikipedia kama Rosiestep ni mhariri wa Wikipedia wa Marekani ambaye anajulikana kwa jaribio lake la kushughulikia upendeleo wa kijinsia katika kamusi elezo kwa kuendesha mradi wa kuongeza idadi na ubora wa wasifu wa wanawake.
Marejeo
hariri- ↑ "Rosie Stephenson: The Woman Who Wrote Over Three Thousand Articles on Wikipedia". HuffPost UK (kwa Kiingereza). 2014-12-11. Iliwekwa mnamo 2022-10-02.
- ↑ Rachael Allen. "Wikipedia is a world built by and for men. Rosie Stephenson-Goodknight is changing that". https://www.thelily.com (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-10-02.
{{cite web}}
: External link in
(help)|work=
- ↑ Žikica Milošević (2018-03-02). "Interview with Rosie Gojich Stephenson-Goodknight: Everyone in Serbia made me feel like "this is your home"". Diplomacy&Commerce. Iliwekwa mnamo 2022-10-02.