Rowan Blanchard
Rowan Blanchard (alizaliwa Oktoba 14, 2001[1][2]) ni mwigizaji na mwanaharakati wa kisiasa wa nchini Marekani. Alijumuishwa kwenye orodha ya jarida la Time magazine kama vijana wenye ushawishi zaidi mwaka 2015.[3]
Alijulikana kwa mara ya kwanza kwa kuigiza kama Rebecca Wilson katika filamu ya Spy Kids mwaka 2011.[4]
Marejeo
hariri- ↑ "Rowan Blanchard: "Riley Matthews"". Disney Channel Medianet. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Agosti 12, 2014. Iliwekwa mnamo Julai 2, 2019.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Kelleher, Jennifer (Oktoba 14, 2018). "8 Ways Rowan Blanchard Proved She Was Wise Beyond Her Years". E! News. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Oktoba 15, 2018. Iliwekwa mnamo Julai 2, 2019.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Lee, Nhi (Desemba 8, 2015). "Cory and Topanga's daughter is one of TIME's "30 Most Influential Teens"". THE EYE (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-04-26. Iliwekwa mnamo 2020-10-08.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "You Got Zuko'd". Disneyabcpress.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-16. Iliwekwa mnamo Oktoba 3, 2018.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rowan Blanchard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |