Ruby Mace

Mchezaji wa mpira wa miguu wa uingereza

Ruby Mace (alizaliwa 5 Septemba 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu,kutoka Uingereza ambae anacheza kama beki au kiungo wa klabu ya Manchester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Uingereza kwa walio na umri chini ya miaka 23.[1][2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ruby Mace kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.