Ruth Kinuthia
Ruth Kinuthia ni mpodowaji bingwa wa kenya na mwenye cheo cha shindano la urembo.[1][2]
Wasifu
haririKinuthia alishinda Miss Kenya 2008 akiwa na umri wa miaka 26 na aliwakilisha nchi yake katika Miss Dunia 2008 huko Afrika Kusini. Alisomea usimamizi wa biashara ya kimataifa na ana shahada ya sheria.[onesha uthibitisho]
Baadaye Kinuthia alianzisha biashara yake ya kupodoa, na Mnamo 2016 alishinda kama Mpodoaji bora wa mwaka katika Tuzo ya Mitindo ya Kenya.[1]
Marejeo
hariri
Makala Kenyan biographical bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
- ↑ 1.0 1.1 "ONE ON ONE: Award-winning makeup guru Ruth Kinuthia - Daily Nation". www.nation.co.ke. Iliwekwa mnamo 2019-04-20.
- ↑ "Ruth Kinuthia, founder, Make-up By Ruthie" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2019-04-20.