Ruth Molly Lematia

Ruth Molly Lematia Ondoru ni mwanasiasa wa Uganda, wakili na mwanaharakati wa haki za binadamu ambaye anahudumu kama mbunge wa jamhuri ya Uganda na pia mshauri wa rais kuhusu masuala ya familia. Lematia pia ametunga sheria na sera nchini Uganda, amehusika katika kuunda sera ya kimataifa na kikanda, kuhusu amani na maendeleo ya kiuchumi kupitia taaluma yake.[1] [2]

Ruth Molly Lematia Ondoru

Marejeo

hariri
  1. Tushabe, Nasa (2021-01-18). "Full List of Winners and Losers of 2021 Member of Parliament Elections". The Pearl Post (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-03-30.
  2. "Hon. Lematia Ruth Molly Ondoru | Global Peace Foundation". www.globalpeace.org. Iliwekwa mnamo 2022-03-30.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ruth Molly Lematia kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.