Ruzena Bajcsy (amezaliwa 1933 huko Bratislava, Slovakia [1]) ni mhandisi na mtaalamu wa kompyuta alibobea kwenye robotiki. Ni profesa wa uhandisi wa umeme na sayansi ya tarakilishi katika chuo cha California, Berkeley[2], ambapo ni mkurugenzi wa Emerita ya CITRIS( Kituo cha Taarifa Habari na utafiti wa maslahi kwa jamii)

Picha ya Ruzena Bajcsy
Ruzena Bajcsy

Hapo kabla ya kuwa profesa na mwenyekiti wa uhandisi na sayansi ya tarakilishi katika chuo kikuu cha Pennsylvania, ambapo alikuwa mkurungenzi mwanzilishi wa maabara ya GRASP (General Robotics and Active Sensory Perception) na ni mjumbe wa taasisi ya sayansi ya neva kwenye shule ya tiba.

Marejeo hariri

  1. "Oral-History:Ruzena Bajcsy (2002)". ETHW (kwa Kiswahili). 2022-02-07. Iliwekwa mnamo 2022-09-09. 
  2. "Ruzena Bajcsy | EECS at UC Berkeley". www.eecs.berkeley.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-09-09.