Saad Ait Khorsa (alizaliwa Safi, Moroko, (1994-01-03)3 Januari 1994) ni mchezaji wa soka wa Morocco anayecheza kama beki katika timu ya FUS Rabat.[1][2]

Anachukuliwa kuwa mmoja wa mabeki bora wa kushoto katika ligi ya Botola. Alifunga goli katika mechi ya mwisho ya hatua ya makundi ya 2017 UAFA Club Championship kusaidia timu yake kufuzu kuelekea nusu fainali.[3]

Marejeo hariri

{{reflist}

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saad Ait Khorsa kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. "Mercato: Saad Ait Khorsa rejoint le FUS". m.le360.ma (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2018-01-20. 
  2. "Saad Ait Khorsa". footballdatabase.eu. Iliwekwa mnamo 2018-02-24. 
  3. "Al Ahed vs. FUS Rabat - 29 July 2017". Soccerway. Iliwekwa mnamo 2018-01-20.