Sadifa Juma Khamis

Mbunge kutoka Tanzania

Sadifa Juma Khamis (amezaliwa tarehe 07 Februari 1982) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama Cha Mapinduzi (CCM). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Donge kwa miaka 20152020. [1]

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017