Saint-Denis
Saint-Denis ni mji wa Ufaransa uliopo katika mkoa wa Département Seine-Saint-Denis, karibu na mji mkuu Paris ikiwa ni sehemu ya rundiko la jiji. Mwaka 2015 kulikuwa na wakazi 111.103.
Saint-Denis | |
Mahali pa mji wa Saint-Denis katika Ufaransa |
|
Majiranukta: 48°56′11″N 2°21′17″E / 48.93639°N 2.35472°E | |
Nchi | Ufaransa |
---|---|
Mkoa | Île-de-France |
Wilaya | Seine-Saint-Denis |
Tovuti: www.ville-saint-denis.fr |
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Saint-Denis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |