Saint Augustine, Florida

Saint Augustine ni mji mdogo uliopo kwenye mwambao wa Atlantiki katika jimbo la Florida. Idadi ya wakazi ni 12,284 (2007)

St. Augustine
St. Augustine is located in Marekani
St. Augustine
St. Augustine
Mahali pa mji wa Saint Augustine katika Marekani
Majiranukta: 29°53′39″N 81°18′48″W / 29.89417°N 81.31333°W / 29.89417; -81.31333
Nchi Marekani
Jimbo Florida
Wilaya St. Johns
Idadi ya wakazi
 - 12,284
Tovuti: www.staugustinegovernment.com
St. Johns County Florida Incorporated and Unincorporated areas St. Augustine Highlighted.svg

Mji ulianzishwa na Wahispania mnamo 1565 waliochagua jina kwa heshima la Agostino wa Hippo.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Florida bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Saint Augustine, Florida kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.