Saleha Farooq Etemadi

Saleha Farooq Etemadi ni mwanasiasa wa Afghanistan, alihudumu kama waziri wa usalama wa jamii mwaka 1990 hadi 1992, mwezi wa tano mwaka 1990 aliteuliwa na Baraza la Mawaziri kua waziri wa usalama katika serikali ya Mohammad Najibullah. [1] Yeye ni mmoja kati ya wanawake wawili katika baraza mwanamke mwingine alikua Masuma Esmati-Wardak.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Saleha Farooq Etemadi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.