Salim Abdallah Khalfan

(Elekezwa kutoka Salim Abdalla Khalfan)

Salim Abdallah Khalfan (amezaliwa tar. 4 Oktoba 1961) ni mbunge wa jimbo la Tumbe katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CUF.

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "Mengi kuhusu Salim Abdallah Khalfan". 19 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.