Dk. Sally Jepng'etich Kosgey (alizaliwa 1949) ni mwanasiasa wa Kenya,mwanachama wa ODM na alichaguliwa kuwakilisha eneo bunge la Aldai katika bunge la kitaifa la Kenya katika uchaguzi wa wabunge wa 2007.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Alliance Girls High School: Historical Perspectives". Alliancegirlshigh.com. 1948-02-28. Iliwekwa mnamo 2011-08-09.