Eneo bunge la Aldai
Eneo bunge la Aldai ni mojawapo ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Nandi miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia
haririJimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1966.
Wabunge
haririUchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1966 | John K. Cheruiyot | KANU | |
1969 | Simeon Kiptum arap Choge | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Simeon Kiptum arap Choge | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Samuel Kibiebei arap Ngeny | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Samuel Kibiebei arap Ngeny | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | John Kiplagat Cheruiyot | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | J. Paul Titi | KANU | |
1997 | Simeon Kiptum Choge | KANU | |
2002 | Jimmy Choge | KANU | |
2007 | Sally Kosgey | ODM |
Wodi
haririWodi | |
Wodi | Wapiga KUra Waliojiandikisha |
---|---|
Chemase | 2,630 |
Chepkumia | 5,831 |
Kabwareng | 6,588 |
Kaptumo | 4,553 |
Kemeloi | 6,017 |
Kibwareng / Chebilat | 6,317 |
Koyo | 2,736 |
Maraba | 4,022 |
Ndurio | 3,573 |
Terik | 6,526 |
Jumla | 48,793 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Aldai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |