Salma Maoulidi ni mwanamke Mtanzania mwanaharakati wa haki za wanawake. pia ni mkurugenzi mtendaji wa Sahibasisters foundation taasisi ya kwanza ya wanaharakati wa haki za wanawake Tanzania. Heinrich Böll Foundation wanamuita "msomi wa umma na mwanaharakati wa kijamii anaepambania wanawake na maendeleo katika jamii kimikoa na kimataifa anayeongozwa na ahadi ya kuweka huru uwezo wa mwanadamu".[1]

Salma Maoulidi
Nchi Tanzania
Kazi yake Mwanaharakati wa haki za Wanawake na Maendeleo katika Jamii
Cheo Mkurugenzi Mtendaji
Chama cha kisiasa Tume ya Katiba ya Tanzania,Kisiwani Zanzibar









Kazi hariri

Maoulidi alikua mwanachama wa tume ya katiba ya Tanzania, iliyoanzishwa mnamo mwaka 2011 ikiwakilisha kisiwa cha Zanzibar.[2]

Maoulidi ni mkurugenzi mtendaji wa shirika la Sahibasisters, ambalo lilipatikana siku ya kitaifa ya wanawake mnamo 8 Machi 2017.[3]

Maoulidi ni mshiriki wa EASUN.

Maoulidi ni mwanachama wa kikundi cha "reflection" cha kielektroniki na kisiasa Afrika Mashariki, kikiratibiwa na chuo cha African Research and Resource Forum (ARRF).

Marejeo hariri

  1. "Staff, Board & Partners". www.easun-tz.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-01-13. Iliwekwa mnamo 11 November 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Tanzanian Affairs » CONSTITUTION REVIEW COMMISSION". www.tzaffairs.org. Iliwekwa mnamo 11 November 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. "Tanzania: First Feminist Activist Institute opens in Tanzania - Women Reclaiming and Redefining Cultures". www.wluml.org. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-05. Iliwekwa mnamo 11 November 2017.  Check date values in: |accessdate= (help)