Salome Wycliffe Makamba

mwanasiasa kutoka Tanzania

Salome Wycliffe Makamba ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CHADEMA. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Shinyanga Mjini kwa miaka 20152020. [1] Ni wakili wa Mahakama Kuu na mahakama za chini yake.

Marejeo

hariri
  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017