Salvatore Giannone

Mwanariadha wa Kiitaliano

Salvatore Giannone (24 Julai 1936 - 3 Agosti 2024) alikuwa mwanariadha wa Italia ambaye alikimbia mbio za kupokezana vijiti za mita 4×100 alishinda medali ya dhahabu katika Chuo kikuu cha Majira ya joto ya mwaka 1959 na kumaliza katika nafasi ya nne(4) katika Michezo ya Olimpiki mwaka 1960.[1]Giannone alifariki akiwa na umri wa miaka 88.[2]

Salvatore Giannone(kulia)

Marejeo

hariri
  1. "Salvatore Giannone".
  2. "Addio a Salvatore Giannone, olimpico a Roma '60 nella staffetta 4x100", Fidal, 6 August 2024. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Salvatore Giannone kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.