Samadi

viumbe hai, hasa inayotokana na kinyesi cha wanyama, kutumika kama mbolea ya kilimo

Samadi (kutoka Kiarabu روث, سماد) ni mbolea inayotokana na mabaki ya wanyama waliokufa au mimea ambayo huongeza rutuba kwenye udongo.

Mfano wa samadi.

Aina za samadi

hariri

Farmyard

Mboji

  • Ni samadi ambayo hutokana na uozo wa takakataka zitokanazo na mabaki ya wanyama na mimea.

Greenyard

  • Ni samadi ambayo hutengenezwa kwa kuzika mimea ya rangi ya kijani kwenye shimo maalum.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Samadi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.