Sambasa Nzeribe

Muigizaji,mwanamitindo na mbunifu wa nchini Nigeria

Sambasa Nzeribe ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa Nigeria mzaliwa wa jimbo la Anambra.

Sambasa Nzeribe
Amezaliwa jimbo la Anambra, Nigeria
Kazi yake mwigizaji na mwanamitindo

Ameshirikishwa katika filamu mbalimbali ambazo zilikuwa na mafanikio makubwa ikiwemo A Mile from Home] ya mwaka 2013, Out of Luck (2015), Just Not Married (2015),[1][2] A Soldier's Story (2015 film) (2015),[3] Hotel Choco (2015),The Wedding Party (2016), The Island (2018), na Slow Country (film) (2018) ,[4] Elevator Baby (2019), Kasala (2018) and The Ghost and the Tout (2018).[5][6][7] Mwaka 2016 alishinda tuzo ya Africa Magic Viewers' Choice Awards (AMVCA) kama muigizaji bora..[8][9][10]

Filamu hariri

  • A Mile from Home (2013)
  • Out of Luck (2015 film)
  • Just Not Married (2015)
  • A Soldier's Story (2015 film)
  • Hotel Choco (2015)
  • The Wedding Party (2016 film)
  • The Island (2018)
  • Slow Country (film)| (2018)
  • Elevator Baby (2019)
  • Kasala (film) (2018)
  • Coming From Insanity (2018)
  • The Ghost and the Tout (2018)
  • Four Crooks And A Rookie (2011)

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sambasa Nzeribe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.