Sambizanga
Sambizanga ni moja ya miji sita inayotengeneza Manispaa ya Luanda nchini Angola. Sambizanga ina urefu wa 14.5km ² na ina wenyeji takiribani 244,000. Mji huo uko pembezoni na magharibi mwa Bahari ya Atlantiki, kaskazini mwa manispaa ya Cacuaco, na Mashariki mwa manispaa ya Cazenga na kusini mwa manispaa ya Ingombota na Rangel.Na mji huo unajumuisha manispaa ya Sambizanga, Bairro Operário na Ngola Kiluanje. Mercado Roque Santeiro ni soko kubwa zaidi la wazi barani Afrika, linalo patikana katika wilaya hiyo.[1]
Mnamo Decemba mwaka 2007, muongozaji wa filamu Radical Ribeiro alianza kutengeneza filamu mjini Sambizanga. Na mnamo 18 Dicemba polisi walikosea na kuwakamata waigizaji katika filamu ya Ribeiro, ambao walikuwa wamebeba silaha za kivita wakidhani ni wahalifu halisi na wakawafyatulia risasi, na kuwaua watu wawili. Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi iyo Roberto Leal Monteiro alisema "Hatutapumzika hadi polisi katika ngazi zote watambue kuwa wao ni wafanyikazi wa umma,"
polisi walikosea na kuwakamata waigizaji katika filamu ya Ribeiro, ambao walikuwa wamebeba silaha za kivita wakidhani ni wahalifu halisi na wakawafyatulia risasi, na kuwaua watu wawili. Waziri wa Mambo ya Ndani wa nchi iyo Roberto Leal Monteiro alisema "Hatutapumzika hadi polisi katika ngazi zote watambue kuwa wao ni wafanyikazi wa umma.
Picha
hariri-
Mji wa Sambinzaga
-
Cine Miramar Luanda
-
Mikoa ya Angola
-
Matukio huko Luanda, Angola
Viungo Vya Nje
hariri- Angolan actors 'killed by police' BBC News, 18 December 2007
- Outrage at Angola actor shooting BBC News, 19 December 2007
Marejeo
hariri- ↑ "BBC News - Angolan traders mourn loss of Roque Santeiro market". news.bbc.co.uk. Iliwekwa mnamo 2016-10-10.
Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sambizanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |