Samory Uiki Bandeira Fraga (alizaliwa 29 Novemba 1996) ni mruka mitupo ya juu kutoka nchini Brazil ambaye alishiriki katika mashindano ya Olimpiki katika msimu wa joto ya mwaka 2020.

Maisha binafsi hariri

Kutoka huku Porto Alegre, Brazil, Fraga anasomea masomo ya Uhusiano wa kimataifa katika chuo cha Kent State kupitia udhamini wa Riadha.[1]

Maisha ya kazi hariri

Fraga alichaguliwa kwenye nafasi ya timu ya taifa ya Brazili kwenye mashindano ya msimu wa joto ya Olimpiki ya mwaka 2020.[2]

Marejeo hariri

  1. "Samory Fraga | Kent State University". www.kent.edu (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-10-12. 
  2. "Athletics FRAGA Samory - Tokyo 2020 Olympics". olympics.com (kwa en-us). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-10-02. Iliwekwa mnamo 2021-10-12.