Samsung Galaxy Ring
Samsung Galaxy Ring ni pete mahiri iliyotengenezwa na Samsung Electronics. Ilitolewa mnamo tarehe 10 Julai, 2024, pamoja na Samsung Galaxy Watch 7 na 7 Ultra. Ni pete ya kwanza mahiri yenye ufuatiliaji wa afya ya kibayometriki[1]. Pete ilizinduliwa kwa bei ya dola $399.99.
Tanbihi
hariri- ↑ McCarthy, Kelly. "Samsung unveils 1st smart ring with biometric health monitoring, how it stacks up to the Oura Ring". ABC News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-07-14.
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |