Pete ni mapambo yanayovaliwa na watu kwenye vidole ya mkono. Kwa kawaida hutengenezwa kwa metali.

Pete dukani

Pete zenye thamani zaidi hutengenezwa kwa metali adili kama vile dhahabu au fedha. Mara nyingi hupambwa na kito.

Pete za arusi zilikuwa desturi ya kikristo ya Ulaya lakini zimesambaa kote duniani.