Uwanja wa San Lázaro (kwa Kihispania: Estadio San Lázaro) ni uwanja wa mpira wa miguu uliopo Santiago de Compostela, Hispania.

Estadio_Multiusos_de_San_Lazaro

Umekuwa uwanja wa nyumbani wa SD Compostela tangu kukamilika kwake mnamo 1993.

Kwa sasa uwanja una uwezo wa kuchukua watazamaji 16,666.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu San Lázaro kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.