Sana Maulit Muli ni tamthiliya ya Kifilipino iliyotayarishwa na kurushwa hewani na kituo cha televisheni cha ABS-CBN. Inasadikika kilikuwa moja kati vipindi vya televisheni vilivyokuwa vikitazamwa sana huko nchini Ufilipino kwa mwaka wa 2007.[1].

''Sana Maulit Muli''

Mtunzi ABS-CBN
Nchi inayo toka Ufilipino
Idadi ya sini zilizopo 73
Matayarisho
Mtayarishaji Brenda Lee Estopacio
Mwandishi mkuu Reggie Amigo
Muda Dk. 25-20
Matangazo
Kituo ABS-CBN
Hewani tangu 8 Januari 2007
Viungo
Profaili ya IMDb

Jina lake linaweza kutafsirika haraka-haraka kwa Kiswahili kama: "Ningependa Iweze Kutokea Tena". Kwa nchini Taiwan, tamthilia hii ilianza kurushwa hewani mnamo tarehe 18 Februari 2008 ikiwa na jina la "Chances" (真愛奇緣 Zhēn Aì Qí Yúan).[2]

Washiriki

hariri

Marejeo

hariri
  1. ""ABS-CBN claims it is the No. 1 TV network nationwide"". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-03. Iliwekwa mnamo 2008-12-10.
  2. Buzz Express || Your Entertainment Buzzer: Sana Maulit Muli in Taiwan
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sana Maulit Muli kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.