Sandra Nabweteme
Mchezaji wa mpira wa miguu wa Uganda
Sandra Nabweteme (alizaliwa 1 Novemba 1996) ni mchezaji wa soka wa nchini Uganda, ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya FH women's football na timu ya Taifa ya kandanda ya wanawake ya Uganda.[1] Mnamo mwaka 2015, alitangazwa kama mchezaji bora wa kike wa mwaka katika mashindano ya FUFA.[2]
Sandra Nabweteme | |
Nchi | Uganda |
---|---|
Kazi yake | mchezaji wa soka |
Marejeo
hariri- ↑ "Sandra Nabweteme", Dallas Weekly, 20 November 2019. Retrieved on 2022-03-01. Archived from the original on 2021-05-03.
- ↑ "Nabweteme hopes Iceland move helps in career rebuild", Daily Monitor, 22 March 2021.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sandra Nabweteme kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |