Sandra Prinsloo
Muigizaji wa Afrika Kusini
Sandra Prinsloo (alizaliwa mnamo 15 Septemba 1947), anajulikana pia kama Sandra Prinzlow, ni muigizaji wa kike nchini Afrika Kusini anajulikana sana kimataifa kwa kazi yake ya uhuska kama “Kate Thompson” kwenye filamu yake ya The Gods Must Be Crazy. Prinsloo pia ameshiriki kwenye televisheni mbalimbali za Afrika Kusini.
Sandra Prinsloo | |
---|---|
Amezaliwa | Sandra Prinsloo 15 septemba 1947 Afrika kusini |
Jina lingine | Sandra Prinzlow |
Kazi yake | Mwigizaji |
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sandra Prinsloo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |