Sanjay Leela Bhansali
Sanjay Leela Bhansali (Devanagari: संजय लीला भंसाली) ni mwongozaji wa filamu kutoka nchini India. Ni mhitimu wa Taasisi ya Filamu na Televisheni ya India.[1] Bhansali amechukua jina la kati la "Leela" ukiwa kama ukumbusho kwa mama'ke, Leela Bhansali.
Sanjay Leela Bhansali | |
---|---|
![]() | |
Amezaliwa | 24 Februari 1963 |
Kazi yake | Mwongozaji wa filamu |
Tovuti rasmi |
FilmografiaEdit
MwongozajiEdit
- Khamoshi: The Musical (1996)
- Hum Dil De Chuke Sanam (1999)
- Devdas (2002)
- Black (2005)
- Saawariya (2007)
- Guzaarish (2010)
MtayarishajiEdit
- Hum Dil De Chuke Sanam (1999)
- Black (2005)
- Saawariya (2007)
- Guzaarish (2010)
MtunziEdit
- 1942: A Love Story (1994)
- Khamoshi: The Musical (1996)
- Guzaarish (2010)
Uongozaji wa MuzikiEdit
- Guzaarish (2010)
Tazama piaEdit
MarejeoEdit
- ↑ Verma, Sukanya (6 Novemba 2007). OSO-Saawariya rivalry: May the best director win. Rediff. Iliwekwa mnamo 2008-03-14.
Viungo vya njeEdit
- Sanjay Leela Bhansali at the Internet Movie Database
- Sanjay L. Bhansali's Official Website Archived 18 Desemba 2014 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Sanjay Leela Bhansali kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |