Bollywood (Kihindi: बॉलीवुड, Kiurdu: بالی وڈ) ni neno la kutaja tasnia ya filamu za lugha ya Kiurdu-Kihindi huko nchini India.[1]

Chimbuko

hariri

Kwa ujumla hutajwa kama Sinema za Kihindi, lakini hiyo si sahihi. Bollywood hutaja filamu za lugha ya Kihindi tu, basi. Istilahi ya Bollywood inaunganisha Bombay na Hollywood (ambapo filamu nyingi za Kimarekani zinatengenezwa).

Dhumuni

hariri

Bollywood hutengeneza filamu nyingi sana kwa mwaka. Filamu nyingi za Bollywood huitwa Masala. Kwa Kihindi, Masala ina-maana ya viungo. Filamu hizi huwa na kiwango cha juu sana cha kimahaba, visasi, na hali ya utajiri na umaskini ndani yake.

Lugha zinazotumika kwenye filamu za Bollywood

hariri

Filamu zinazotayarishwa Bollywood kwa kawaida huwa kwa lugha ya Kihindi. Hindustani, sehemu mashuhuri kote kwa Kihindi na Kiurdu. Bollywood hutengeneza filamu zake kwa lugha ya Kihindi, Urdu na Kiingereza.

Badiliko

hariri

Mtahakiki wa filamu Lata Khubchandani ameandika,"..filamu zetu za awali...(zilikuwa)na uhuru wa sehemu za kubusiana na mapenzi ndani yake. Cha-kushangaza, ilikuwa baada ya Uhuru bodi ya sensa imeingilia kati na ikabadilisha kila kitu."[2]

Waongozaji wa filamu

hariri

historyczni

Wanakoreografia

hariri

Waigizaji wa kike

hariri

Waigizaji wa kiume

hariri

Marejeo

hariri
  1. http://www.culturalindia.net/indian-cinema/regional-cinema.html
  2. Free Reeling,PLAY, Sunday Mid-day , 11 Machi 2007, Mumbai.MH/MR/WEST/66/2006-08 Khubchandani, Lata. "Memories of another day". mid-day.com.

Viungo ya Nje

hariri