Sara Cognuck ni mwanaharakati wa hali ya hewa kutoka Kosta Rika.

Maisha ya awali na elimu

hariri

Katika maisha yake ya awali, Cognuck aliishi Peñas Blancas. Kwa sasa anaishi Esparza. [1] Ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Costa Rica . [2]

Harakati

hariri

Alianza harakati zake alipokuwa na umri wa miaka 15. [3] Moja ya harakati zake zilianza mnamo mwaka 2015's alipojiunga na Baraza la Kitaifa la Vijana la Costa Rica ambalo lilikuwa sehemu ya harakati za kujumuisha hatua za hali ya hewa katika Sera ya Umma ya Vijana mwaka 2020 hadi sasa. [4] Cognuck pia alikuwa mratibu wa Kongamano la Vijana la Mitaa (LCOY), ambalo ni tukio lililotangulia kabla ya COP 25, na sehemu ya Chama cha Vijana cha Mkataba wa Umoja wa Mataifa juu ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa ambayo iliundwa na vijana 70. [5] Yeye pia ni mmoja wa wawakilishi wa vijana wa Azimio la Watoto na Vijana katika Hatua za Hali ya Hewa. [6]

Marejeo

hariri
  1. Kutz, Cat (1 Agosti 2021). "Nature & Nurture: How Costa Rica's Environmentalism Shaped Sara Cognuck Into a Climate Leader". www.smithsonianmag.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-22.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Sara Cognuck González – Consejo Nacional de la Persona Joven". Cuarto Foro Mundial de Ciudades Bajas en Carbono (kwa Kihispania). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-29. Iliwekwa mnamo 2022-04-22.
  3. Chandramouli, Kartik (2019-12-19). "Youth rising at COP25: They came, they protested, they negotiated". Mongabay-India (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2022-04-22.
  4. Kutz, Cat (1 Agosti 2021). "Nature & Nurture: How Costa Rica's Environmentalism Shaped Sara Cognuck Into a Climate Leader". www.smithsonianmag.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-22.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. Martinez, Adrián (2019-10-08). "Conferencia de la Juventud Costa Rica LCOY – 2019". La Ruta del Clima (kwa Kihispania). Iliwekwa mnamo 2022-04-22.
  6. "COP 25: Young climate activists call for urgent action on the climate crisis at UNICEF-OHCHR event". www.unicef.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-04-22.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sara Cognuck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.