Kosta Rika
Kosta Rika (kwa Kihispania: Costa Rica, yaani Pwani Tajiri) ni nchi ya Amerika ya Kati.
| |||||
Kaulimbiu ya taifa: ¡Vivan siempre el trabajo y la paz! | |||||
Wimbo wa taifa: Noble patria, tu hermosa bandera | |||||
![]() | |||||
Mji mkuu | San Jose | ||||
Mji mkubwa nchini | San Jose | ||||
Lugha rasmi | Kihispania | ||||
Serikali | Jamhuri, demokrasia Luis Guillermo Solís | ||||
Uhuru Tarehe |
15 Septemba 1821 | ||||
Eneo - Jumla - Maji (%) |
51,100 km² (ya 129) 0.7% | ||||
Idadi ya watu - [[]] kadirio - 2011 sensa - Msongamano wa watu |
(ya 119) 4,586,353 84/km² (ya 107) | ||||
Fedha | colón (CRC )
| ||||
Saa za eneo - Kiangazi (DST) |
(UTC-6) (UTC) | ||||
Intaneti TLD | .cr | ||||
Kodi ya simu | +506
- |
Imepakana na Nikaragua na Panama; kuna pwani ya Pasifiki upande wa magharibi na pwani ya Bahari ya Karibi upande wa mashariki.
Kosta Rika ilikuwa nchi ya kwanza duniani ya kufuta jeshi lake kikatiba. Pia inaongoza kwa kuhifadhi mazingira.
WatuEdit
Wakazi wengi (65.8%) wana asili ya Ulaya, mbali ya machotara Wazungu-Waindio (13.65%) na wahamiaji wenye asili yoyote (9.03%). Waindio, ambao ndio wakazi asili, ni 2.4% tu.
Lugha rasmi na ya kawaida ni Kihispania.
Upande va dini, walio wengi ni wafuasi wa Yesu katika Kanisa Katoliki (70.5%: ndiyo dini rasmi) au madhehebu ya Uprotestanti (13.08%). Nje ya Ukristo, unaongoza Ubuddha (2.3%).
Tazama piaEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kosta Rika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |