Sarah Michael Kitinga

Sarah Michael Kitinga ni mwanamke wa kitanzania aliyezaliwa mwaka 1996 na kusoma katika shule ya sekondari iitwayo Merry Goreth, kwasasa anasoma katika chuo cha Arusha kozi ya stashahada ya uzamili wa matibabu ya kibayolojia, ni mwanamuziki wa kizazi kipya katika nyimbo mbalimbali ikiwemo Manu [1] aliyeshiriki katika shindano la Bongo star search mwaka 2021.[2]

Sarah alianza kuimba akiwa na umri wa miaka 6 katika maeneo maalumu kama shule na kanisani kama muimba kwaya na ameshilikiana na wanamuziki mbalimbali ikiwemo Jay melody na wengine wengi

Mwaka 2021 Sarah alipata tuzo ya mwanamziki bora wa kike chipukizi

Marejeo

hariri
  1. https://mdundo.com/a/248363#google_vignette
  2. "Sarafina, zao la BSS linalonogesha bongofleva"
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sarah Michael Kitinga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.