Jay Melody
Sharif Said Juma (maarufu kama Jay Melody; alizaliwa Mwananyamala, Dar es Salaam, Tanzania, 12 Juni 1997) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo kutoka nchini Tanzania.[1] [2]
Jay Melody | |
---|---|
Jina la kuzaliwa | Sharif Saidi Juma |
Amezaliwa | 12 Juni 1997 |
Asili yake | Dar es Salaam, Tanzania. |
Aina ya muziki | Dansi Hip Hop Pop Bongo Flava |
Kazi yake | Mwanamuziki Mwandishi Mwigizaji |
Ala | Ngoma Sauti |
Aina ya sauti | Pop |
Miaka ya kazi | 2020 - hadi leo |
Studio | Epic Records |
Ame/Wameshirikiana na | Bill Nass Marioo Nandy Barnaba Dogo Janja Shilole Rayvanny Harmonize Aslay |
Tovuti | https://www.youtube.com/@JayMelody/YT] |
Jay Melody Amesainiwa na Epic Records nchini Tanzania na anajulikana kwa nyimbo kama Chini, Ego, Stom, Jockin Me, Wenge, Nitasema, Me Gusta, Haiwezekani, Corona Basi, Oxygen, Bojo, Mikongo sio, Raha tele, Sugar, Ndoga, Zeze, Halafu, Samaba Loketo, Acha Wivu, Namwaga Mboga, Goroka, Huba Hulu, Najiweka, Nakupenda.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jay Melody kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |