Savanah Uveges

Mchezaji soka wa Marekani

Savanah Jayn Uveges (alizaliwa 9 Juni 1996) ni mchezaji wa soka wa nchini Marekani na ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya wanawake ya MSV Duisburg nchini Ujerumani.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Savanah Uveges kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.