Scott Carson
Mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Uingereza
Scott Paul Carson (amezaliwa 3 Septemba 1985) ni mchezaji wa soka wa Uingereza ambaye anacheza kama kipa wa kilabu cha Ligi Kuu ya England, Manchester City, kwa mkopo kutoka Derby County ya Championship.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Scott Carson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |