Sean Paul Ryan Francis Henriques[1][2] (alizaliwa 9 Januari 1973) ni mwimbaji na rapa wa reggae na dancehall kutoka Jamaika. Albamu ya kwanza ya Paul, Stage One, ilitolewa mwaka 2000. Alipata umaarufu wa kimataifa na albamu yake ya pili ya Dutty Rock, mwaka 2002. Wimbo wake Get Busy uliongoza chati ya Billboard Hot 100 nchini Marekani, kama ilivyokuwa na nyimbo ya Temperature, kutoka katika albamu yake ya tatu inayoitwa The Trinity ya mwaka 2005.[3][4]

Paul mwaka 2023

Marejeo

hariri
  1. Buncombe, Andrew (26 Desemba 2014). "Singer Sean Paul told to stay away from Maldives New Year's Eve concert". The Independent. Iliwekwa mnamo 4 Oktoba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Folha de S.Paulo - Música: Sean Paul transporta o dançante dancehall da Jamaica para o Brasil - 16/06/2005". 1.folha.uol.com.br. 16 Juni 2005. Iliwekwa mnamo 18 Novemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Collins, Hattie. "Talk dutty to me", 23 September 2005. 
  4. "Sean Paul se encanta por 'várias' brasileiras". Vírgula (kwa Kireno (Brazili)). 2005-06-17. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2024-04-06. Iliwekwa mnamo 2024-09-26.